Exodus 10:28-29

28Farao akamwambia Mose, “Ondoka mbele yangu! Hakikisha kuwa hutakuja mbele yangu tena! Siku ile utakapouona uso wangu utakufa.”

29 aMose akamjibu, “Iwe kama ulivyosema! Kamwe sitauona uso wako tena.”

Copyright information for SwhNEN